

Description
Ufunguo wa KJSEA ni kitabu cha pekee chenye kina undani siokifani. Ni kitabu kilichoandaliwa kwa uzingatifu na umakinifu mkubwa ili kumwezesha mwanafunzi - mtahiniwa kuwa na ufasaha na umilisi mkubwa wa fasihi na insha. Hakika, kitabu hiki ni ufunguo kamili wa matokea bora zaidi kwenye mtihani. Waandishi wa kitabu hiki kando na kuwa walimu wenye tajriba pia ni watahini wa kiwango cha kitaifa. Uzoevu wao wa kina umewawezesha kufahamu barabara changamoto za kukabiliana na mtihani. Kupitia kitabu hiki watavuvia wanafunzi hekima na busara si haba.
Book details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789914953411
- SKU
- 9789914953411
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Intensive Publisher
- Language
- Kiswahili
- Publication date
- 2025-01-01T00:00:00+00:00
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.
Book information
Intensive KJSEA Kiswahili Paper 2 GD 7,8,9
Peter Muigai W., Julius G. Mugo, Symon M. Gatheru
- Author:
- Peter Muigai W., Julius G. Mugo, Symon M. Gatheru
- Language:
- Kiswahili
- Published:
- 2025
Paperback
This edition is currently out of stock.






