Skip to main content
Cover of Kiswahili Activities
Description

Mentor Kielekezi cha Kiswahili Mazoezi ya Lugha Grade 2 (Rationalised) ni kitabu bora kilichowasilisha kikamilifu mahitaji ya Mtaala wa Kiumilisi (CBC). Kinaangazia stadi zote za kujifunza lugha ikiwemo Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika, na Sarufi. Kitabu hiki kimeundwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi ili kurahisisha uelewa na kuongeza hamasa ya kujifunza. Kimetumia lugha nyepesi inayoweza kueleweka kwa urahisi na mwanafunzi wa Gredi ya 2. Kina mazoezi muhimu ya kumthamini mwanafunzi na pia kumwezesha kujitathmini, hivyo kukuza uwajibikaji katika ujifunzaji. Zaidi ya hayo, kina jaribio mwishoni mwa kila sura ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio zaidi na kujiandaa vyema kwa mitihani. Waandishi wa kitabu hiki wana tajriba kubwa katika ufundishaji wa somo la Kiswahili katika shule za msingi nchini Kenya

Book details
Format
Paperback
ISBN
9789914769401
SKU
9789914769401
Delivery type
physical
Publisher
Mentor Publisher
Language
Kiswahili
Publication date
2024-01-01T00:00:00+00:00
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.

Book information

Kiswahili Activities

Esi Vaati

Author:
Esi Vaati
Language:
Kiswahili
Published:
2024

Paperback

KES 670.48
1

This edition is currently out of stock.

Kiswahili Activities
KES 670.48
Currently unavailableNo edition is available to buy right now.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Kiswahili Activities | eKitabu