

Description
Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa mpya wa Umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka. Kitabu hiki: Kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtaala. Kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila suala kuu. Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.
Book details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789914447316
- SKU
- 9789914447316
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Oxford University Press East Africa
- Language
- Kiswahili
- Publication date
- 2024-01-01T00:00:00+00:00
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.
Book information
Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 6 Toleo la 2024
Jackline Ndege, Pauline Kea, Evans Osoro
- Author:
- Jackline Ndege, Pauline Kea, Evans Osoro
- Language:
- Kiswahili
- Published:
- 2024
Paperback






