

Description
Kashida katika Shida Kashida amezaliwa katika familia na jamii ambayo inamkana. Inamkataa na kumchukia Ananusurika kutolewa kafara na kufika nchi ngeni lakini matatizo yanazidi kumwandama Kuna kitu fulani cha ajabu mwilini pa Kashida na wakionacho kitu hicho ndio wanaozidisha taabu zake. Kashida anaporejea nyumbani anapangiwa kuuawa ili milk isipate majanga. Je, Kashida atauawa? Yawezekanaje Koshida awe malkia mwenye sifa na nguvu nyingi
Book details
- Format
- ISBN
- 9789966115133
- SKU
- 9789966115133
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Queenex Publishers Limited
- Language
- Kiswahili
- Publication date
- 2018-01-01T00:00:00+00:00
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.
Book information
Kashida katika Shida
Yahya Mutuku
- Author:
- Yahya Mutuku
- Language:
- Kiswahili
- Published:
- 2018
This edition is currently out of stock.






