

Description
Cheche za Insha, Gredi ya 5 ni mwongozo wa kipekee na wa kisasa unaoambatana na mtalaa wa umilisi kwa shule za msingi. Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi wa Gredi ya 5 kuwa waandishi bora na wenye uhakika wa kuandika insha za kuvutia. Kina mwongozo wa kina wa uandishi hatua kwa hatua, vielelezo vya insha, na fursa ya kipekee ya kuchapishwa na Storymoja – hivyo kukuza ujuzi wa kuandika na kumfanya mwanafunzi ajisikie mwenye thamna
Book details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966623973
- SKU
- 9789966623973
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Storymoja Publishers
- Language
- Kiswahili
- Publication date
- 2021-01-01T00:00:00+00:00
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.
Book information
Cheche za Insha (CBC)
Eric K. Muteti, Collins B. Ndamwe
- Author:
- Eric K. Muteti, Collins B. Ndamwe
- Language:
- Kiswahili
- Published:
- 2021
Paperback
This edition is currently out of stock.






