
![Cover of Kamusi ya Karne ya 21 [Kimeidhinishwa]](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fpub-7cf9bd1ea400478fac458f66c3741840.r2.dev%2Fproducts%2Fmigrated%2F4f769accf5a14c3102caebfa5081e12c0ac34d9e7a9b469aae833e34d540a68d.png&w=3840&q=80)
Description
Kamusi ya Karne ya 21 (Toleo ya 5) ni kamusi ya Kiswahili yeneye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu nna wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lugha ya Kiswahili inavyokwenda na wakati kwa kupanuka katika matumizi yake katika pembe zote za dunia. Toleo hili limeongezwa vidahizovipya zaidi ya 2500 ambavyo vinaashiria maendeleo mapya katika lugha ya Kiswahili. Kamusi hii inaonyesha ukuaji wa Kiswahili na matumizi yake katika nyanja zote za Siasa, Sayansi, Teknolojia ya kidijitali, mitandao ya kijamii, ubadilishanaji wa fedha na bidhaa kupitia kwa mifumo ya kimtandao miongoni mwa mengine.
Book details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789966361202
- SKU
- 9789966361202
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Longhorn Publishers PLC
- Language
- Kiswahili
- Publication date
- 2024-12-01T00:00:00+00:00
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.
Book information
Kamusi ya Karne ya 21 [Kimeidhinishwa]
Adam Shafi Adam, Prof. James S. Mdee, Prof. Kimani Njogu
- Author:
- Adam Shafi Adam, Prof. James S. Mdee, Prof. Kimani Njogu
- Language:
- Kiswahili
- Published:
- 2024
Paperback
This edition is currently out of stock.






