

Description
Kabla hata hajapata mtoto, Shangasa aliuchukia umasikini. Siku moja alimfuata mganga maarufu wajadi, jina lake Deberi. Watu wengi walimsifu Deberi kwa utabiri na dawa zake zenye kuleta bahati. Laakini miujiza hiyo haikuwa na maana, bali mazingaombwe tu. Hadithi za Adili zimekusudiwa kuburudisha na kuelekeza. Hiki kimependekezwa kwa madarasa ya juu katika shule za msingi.
Book details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9780195733167
- SKU
- 9780195733167
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Oxford University Press East Africa
- Language
- Kiswahili
- Publication date
- 2009-01-01T00:00:00+00:00
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.
Book information
Nachora kwa Maneno
Ali M Rashid
- Author:
- Ali M Rashid
- Language:
- Kiswahili
- Published:
- 2009
Paperback
This edition is currently out of stock.






